Homa ya kombe la dunia imeanza kupanda na timu kadhaa zimeanza kutangaza vikosi vya wachezaji watakaoenda Brazil kushiriki michuano hiyo inayotarajiwa kuanza June mwaka huu.
Jana usiku kocha wa timu ya taifa ya Brazil Luis Fellipe Scolari alitangaza kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 wataowawakilisha wabrazil kwenye fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchi kwao – kikosi kilikuwa kama ifuatavyo: Goalkeepers: Jefferson (Botafogo), Julio Cesar (Toronto FC), Victor (Atletico MG).
Defenders: Dante (Bayern Munich) David Luiz (Chelsea), Henrique (Napoli), Thiago Silva (PSG) Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma) Marcelo (Real Madrid), Maxwell (PSG).
Midfielders: Fernandinho (Manchester City) Hernanes (Inter) Luiz Gustavo (Wolfsburg) Oscar (Chelsea) Paulinho (Tottenham Hotspur), Ramires (Chelsea), Willian (Chelsea).
Forwards: Bernard (Shakhtar Donetsk), Fred (Fluminense) Hulk (Zenit) Jo (Atletico MG), Neymar (Barcelona).
UJERUMANI
Leo hii kocha Joachim Loew wa Ujerumani nae ametangaza kikosi cha awamu ya kwanza cha wachezaji 30 ambao watachujwa na kubakia 23 watakaobeba dhamana ya wajerumani Brazil mwaka huu: Goalkeepers : Manuel Neuer (Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund), Ron-Robert Zieler (Hannover)
Defenders : Jerome Boateng (Bayern Munich), Erik Durm (Borussia Dortmund), Kevin Grosskreutz (Borussia Dortmund), Benedikt Howedes (Schalke), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Marcell Jansen (Hamburg), Philipp Lahm (Bayern Munich), Per Mertesacker (Arsenal), Shkodran Mustafi (Sampdoria), Marcel Schmelzer (Borussia Dortmund)
Midfielders : Lars Bender (Bayer Leverkusen), Julian Draxler (Schalke), Matthias Ginter (Freiburg), Leon Goretzka (Schalke), Mario Gotze (Bayern Munich), Andre Hahn (Augsburg), Sami Khedira (Real Madrid), Toni Kroos (Bayern Munich), Max Meyer (Schalke), Mesut Ozil (Arsenal), Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich)
Attackers : Miroslav Klose (Lazio), Kevin Volland (Hoffenheim), Lukas Podolski (Arsenal), Marco Reus (Borussia Dortmund), Andre Schurrle (Chelsea), Thomas Muller (Bayern Munich)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni