KIUNGO wa Manchester City, Samir Nasri ameachwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Ufaransa kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil.
Nasri alitarajia kuachwa na kocha Didier Deschamps baada ya Raphael Varane kukabidhiwa nafasi yake.
Franck Ribery, Karim Benzema, Patrice Evra, Paul Pogba na Yohan Cabaye wote wamejumuishwa.
Kikosi kizima hiki hapa
Walinda Mlango: Hugo Lloris (Tottenham), Steve Mandanda (Marseille), Mickeal Landreau (Bastia)
Walinzi: Raphael Varane (Real Madrid ), Mamadou Sakho (Liverpool ), Mathieu Debuchy (Newcastle), Laurent Koscielny (Arsenal ), Lucas Digne (Paris), Eliaquim Mangala (Porto), Bacary Sagna (Arsenal), Patrice Evra (Manchester United)
Viungo: Yohan Cabaye (PSG), Paul Pogba (Juventus), Blaise Matuidi (PSG), Moussa Sissoko (Newcastle), Clement Grenier (Lyon), Rio Mavuba (Lille), Mathieu Valbuena (Marseille).
Washambuliaji: Karim Benzema (Real Madrid), Franck Ribery (Bayern Munich), Antoine Griezmann (Real Sociedad), Olivier Giroud (Arsenal), Loic Remy (Newcastle)
Reserve list: Remy Cabella (Montpellier), Maxime Gonalons (Lyon), Alexandre Lacazette (Lyon), Loic Perrin (Saint-Etienne), Stephane Ruffier (Saint-Etienne), Morgan Schneiderlin (Southampton), Benoit Tremoulinas (Saint-Etienne).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni