Patrick Vieira akiwa amekaa chini katika shule moja huko Senegal, Vieira alitembelea Senegal nchi ambae ni asiLi yake ingawa ana uraia wa Ufaransa. Safari yake ilikuwa chini ya UNICEF na Western Union kusahidia watoto wa shule.
Vieira akionyesha ufundi wake wa jinsi ya kucheza mpira wa miguu, mchezo huu wa mpira wamiguu ndiyo uliomuwezesha kuwa maalufu duniani kote hadi kufikia kupewa uraia ni nchi ya Ufaransa. Na kwa sasa Patrick Vieira yupo kwenye benchi la ufundi la Mabigwa wapya wa BPL Man City.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni