Social Icons

Jumamosi, 21 Juni 2014

HII NDIO AJALI MBAYA ILIO TOKEA MAKONGO DSM PATA PICHA.

TAHADARI PICHA ZINA TISHA
 Habari zilizo tufikia ni kwamba ajali hii mbaya imetokea eneo la Makongo. Coaster mbili zimegongana watu 20 wamefariki hapo hapo. 
Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo
 R.I.P



Tunatoa pole kwa familia zote zilizo fikwa na msiba huu. Habari zaidi tutawaletea tutakapo zipata.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates