Ulinzi: Wanajeshi wa Brazil wakiwa wamejipanga mstari nje ya hotel ya Royal Tulip wakati England wanawasili
KIKOSI cha England kimetuz Brazil leo baada ya safari ya saa nane na nusu angani tayari kwa Kombe la Dunia.
Vijana wa Roy Hodgson waliwasili majira ya saa 8.30 mchana mjini Rio de Janeiro baada ya kupaa katika anga ya Florida, Marekani usiku wa jana.
Baada ya kutua timu hiyo liana safari nyingine ya saa moja kuelekea hotel ini kwao, karibu na Ipanema Beach.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni