Social Icons

Ijumaa, 6 Juni 2014

KAMA HUKUBAHATIKA SOMA HAPA CHATU ALIYE TOKEA NYUMBANI KWA MTU.


Nyumban kwa mtu katokea chatu kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa quran ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu akasema asiuwawe ni mtoto wake wa kwanza..Imetokea Arusha sasa hivi..
Chatu limetokea chumbani kwa huyo mama ghafla likaenda kwenye maua halijamdhuru mtu wanajitahidi kuliuachatu akutwa nyumbani kwa mtu, mwenye nyumba alipopigiwa simu akasema asiuwawe Ni mwanae, imetokea sasa hivi arusha, huko sakina maeneo ya motel 2000
Mwenye nyumba anaitwa Magesa.Jamani walimwengu hawaachi tu kutushangaza muda huu nimerudi nyumbani nasinzia sinzia ndio napewa yaliyojiri mkoani arusha huko.Ila wananchi wamemuua huyo chatu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates