Smithsonian’s National Museum of African Art picha katika maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 tangu kufungiliwa kwa Museum hiyo iliopo Mjini Washington, DC
National Museum of African Art siku ya Jumanne June 3, 2014 wamesherehekea maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 tangu kufungiliwa kwa Smithsonian’s National Museum of African Art, Mjini Washington, DC
Sharehe hizo zilianza rasmi mida ya Saa Nne Asubuhi na kumalizika saa Kumi na Moja Jioni kukiwa na ngoma za kitamaduni zilizotumbuizwa na kundi zima la Farafina Kan, pamoja na Ethiopian Coffee Ceremony, Henna Paint pamoja na chakula cha Nando's Peri-Pari
Msimamizi wa NPR Show ''Tell me more'' Michel Martin akiendesha mazungumzo dhidi ya wawakilishi.
Aidha wawakilishi wa National Museum of African Art, walizungumzia kuhusu historia ya kumbukumbu ya miaka 50 ya kuazishwa juu ya makumbusho hayo. Katika mazungumzo hayo mbayo yalikuwa chini ya msimamizi wa NPR Show ''Tell me more'' Michel Mc , Queen Martin, Dr Johnnetta Betsch Cole (Directoct of National) Lady Putrecelli, Dr. Alan Brody (Warren Robbins-Founder of Museum's Nephew) Pesident of the Center for Cross Cultural Communications, Asif Shaik na Bryna Freyer Senior curator at African Art.
Wageni mbalimbali wakisikiliza historia ya kutimiaza Miaka 50 ya Smithsonian’s National Museum of African ArtKikundi cha Farafina Kan kikitumbuiza goma za kitamaduni katika sherehe za maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 yaSmithsonian’s National Museum of African Art
Pichani kundi zima la Farafina Kan likitumbuiza goma za kitamaduni katika sherehe za maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 ya Smithsonian’s National Museum of African ArtMjasirimalim mwenye duka lenye vitu vya sanaa akionyesha T-shirt ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 50 ya Smithsonian’s National Museum of African Art Mwanamtindo wa kupaka heena Hadia Heavenly Heen Designs akichora akimalizia kupaka heena Mtaalamu Cathoni Kamau (Community Outreach Specialist) wapili kulia akipata picha na baadhi ya wageni waalikwa katika Maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 ya National Museum of African Art iliopo Mjini Washington Wanaharakati wakipata picha ya pamoja na Mtaalamu Cathoni Kamau (Community Outreach Specialist) wapili kutoka kulia akiwa na cheif waswahilivilla blog wa kwanza kushoto.Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry akiwa na mwandishi wa habari wa Marekani Michel McQueen Martin wa NPR show, katika Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 ya Smithsonian’s National Museum of African Art, zilizofanyika Siku ya Juamanne June 3, 2014 Independence Avenue, SW, Mjini Washington, DC
Wageni mbalimbali waliohudhuria kusikiliza historia ya kutimiaza Miaka 50 ya Smithsonian’s National Museum of African ArtDr. Johnnetta Betsch Cole Director of the Smithsonian National Museum of African Ar akipata picha ya pamoja na Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni