Hili ni eneo lililoko mtaa au barabara ya msimbazi ambalo lipo katikati ya jiji la DAR ni karibia mwaka sasa hakuja fanyia usafi wa aina yeyeto ni kuchafu kunanuka
Je?wenye maduka hapa karibu hawaja ona.
Je?kama mjini katikati kama hapa hapaonekani uko vijijini?
Je?unamaana hapa hakuna serikali kabisa au mpaka Obama aje.
onaviews.blogspot imesikitishwa sana labda tunasubiri watu wafe ndio tuanze kuangaika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni