Social Icons

Alhamisi, 15 Mei 2014

Yule Seneta Wakenya Ambaye Ni Sharobaro,Mike Sonko.


Senator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama iliyokuwa ikiendelea na kuonekan tofauti na kila kiongozi aliyekuwepo eneo hilo.

Uhuru na Ruto walishindwa kabisa kuzuia mshangao wao na kuanza kuongelea vazi hilo huku wakicheka kama vile ni kituko kuwa kiongozi kama Sonko amevaa jean iliyochanika chanika huku juu akiwa amevalia suti na tai nzuri tu.  

ss 2 ss 3 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates