Social Icons

Jumatatu, 19 Mei 2014

LOUIS VAN GAAL KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED

Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal. 
Kocha wa timu ya Taifa ya Uholanzi, Louis van Gaal ndiye kocha mpya wa Manchester United. Gaal ataiongoza timu hiyo kwa miaka mitatu baada ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.
Aliyekuwa kocha wa muda wa timu hiyo, Ryan Giggs ndiye atakuwa msaidizi wake.
Klabu ya Manchester United imethibitisha taarifa hizi kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates