Social Icons

Ijumaa, 16 Mei 2014

HASHEEM THABEET NA MCHUMBA WAKE BEE ANDERSON WAPATA BABY BOY PRINCE THABEET,tazama pix


 Hasheem Thabeet akiwa na kichuna chake Fox Sports Radio, Bee Anderson wakiwa bump to bump. Bee na Hasheem wamepata mtoto wakiume waliempa jina la Prince Thabeet. Jitiririshe hapa chini na picha za mtoto akiwa mikononi mwa mama yake Bee Anderson kiroho safi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates