Social Icons

Ijumaa, 9 Mei 2014

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI JANA


Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates