Social Icons

Jumanne, 27 Mei 2014

PICHA:MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME


  Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa. 
Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates