Social Icons

Jumanne, 20 Mei 2014

LUIS ENRIQUE NDIYO CHAGUO LA BARCELONA KUWA KOCHA MPYA


Luis Enrique ndiyo anaechukua jukumu la kuwa kocha mpya wa Barcelona baada ya kocha wao Gerardo kuachia ngazi, 
Luis mwenye umri wa miaka 44 alichawahi kuwamchezaji wa Barcelona na kicha kustaafu na kuwa kocha wa Celta Vego msihuu ulioishia kwa Atletico Madrid kuwa bingwa. Luis kakubari kuwa kocha wa Barcelona kwa kusign mkataba wa mvua mbili. Habari ndiyo hii je ataifanya Barcelona kurudia makali yake?.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates