Social Icons

Jumamosi, 10 Mei 2014

BILLIONAIRE WA KWANZA KWENYE HIP HOP MUSIC DR DRE AJAZWA MAPESA NA APPLE


Dr Dre na smile la pesa baada 
Dr Dre ni Billionaire wa kwanza wa Marekani kwenye music maalufu wa hip hop na alieanzanisha head phone zinazojulikana kwa jina lake la Dr Dre beats na kujipatia wapenzi wengi katika headphone hizo. Sasa basi company ya Apple imenunua kwa Billion 3.2 utengenezaji wa head phone hizo na sasa zitakuwa chini ya Apple. Baada ya Dr Dre kukunja mkwanza huo mrefu kutoka Apple.
.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates