Social Icons

Alhamisi, 1 Mei 2014




KUTOKANA NA HALI ISIYO YA KAWAIDA LEO MIDA YA SAA 10 JIONI KATIKA MAENEO YA MTAA WA KONGO NA UHURU WAKINA MAMA NA WATOTO PAMOJA NA WATU WENGINE WALIONEKANA WAKIKIMBIA HOVYO KUTOKANA NA MSHANGAO MKUBWA WA SAUTI YA MABOMO.

MABOMU HAYO YALIO KUWA YAKILUSHWA NA POLISI WA KUTULIZA GHASIA,YALIKUWA YAKILUSHWA KWA AJILI YA KUFUKUZA WAMACHINGA, MABOMO HAYO YA MACHOZI NDIO YALIO LETA TAHARUKI KUBWA PIA NASHAURI WANAPO TAKA KULUSHA MA BOMU HAYO WAWE WANA TANGAZA KWA JILI YA KUTOA HALI YA MSHANGAO MKUBWA KWA WATU AMBAO HAWA HUSIKI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates