Social Icons

Jumanne, 15 Julai 2014

WATU WAILI WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI.

Gari aina ya Rand Rover likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso naToyota Corolla.
Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari aina ya Rand Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Rand Rover baada ya kugongwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates