Timu ya Manchester United ya Uingereza na AS Roma ya Italia zikiwa kwenye mstari tayari kwa kujiandaa kuanza kucheza mechi kati ya timu hizo moja ya mechi za maandalizi kwa ajili ya ligi zao mechi iliyochezwa siku ya Jumamosi July 26, 2014 jimbo la Dnver nchini Marekani na Man U kuibanjua AS Roma kwa bao 3-2
Wayney Rooney akiachia shuti kali.
Wachezaji wa Man U wakijipongeza moja ya magoli yao.
Kipa wa Man U akiokoa moja ya hatari.
Mchezaji Juan Mata akiwa uwanjani.
Mchezaji Welbeck akijaribu kuipasua ngome ya AS Roma
Mchezaji Welbeck akiashilia jambo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni