Shekhe Muhaji Hussein Kifea alijeruhiwa miguu na mapajani akiwa kitandani baada ya kutibiwa.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwajulia hali majeruhi.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Arusha, SACP Liberatus Sabas akiwajulia hali mashekhe hao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni