Chelsea wamethibitisha kumsajili rasmi Diego Costa baada ya kufikia makubaliano
na Atletico Madrid.
Chelsea ilitaka kukamilisha usajili huo kabla ya
Chelsea ilitaka kukamilisha usajili huo kabla ya
Kombe la Dunia kwa pauni milioni 32. Jambo hilo halikufanikiwa lakini sasa mkataba
umefikiwa. Taarifa iliyotolewa imesema: "Chelsea inathibitisha kufikia
makubaliano na Atletico Madrid kwa ajili ya uhamisho wa
Diego Costa". Chelsea walikuwa wamekubali kulipa ada ya uhamisho
na Diego Costa mwenyewe aliwaambia Atletico hamu yake ya kuondoka,
lakini mkataba ulikuwa mgumu kufikiwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni