Social Icons

Jumapili, 20 Julai 2014

LEO LEO;-TAPELI LILILO JIWEKA KWAMBA LIMETOKA TANESCO LAKAMATWA LEO.

                                Huyu ndio moja ya mtuhumiwa wa utapeli kwamba yeye katoka Tanesco
Leo asubuhi maeneo ya Kigamboni kwenye nyumba moja wamefika watu  nyumbani kwa mwananchi mmoja wakasema wana toka tanesco,sasa pata habari hilivyo letwa ONAVIEWS BILA KU ADETI KITU

Watu hao wakasema  wame toka tanesco wamekuja kucheki mita ya luku ,wakakorokocha wakasema mita imechezewa kwa hiyo  wanataka kungoa mita, eti waliona katika gps yao kuwa  umeme auendi vema wan,goa mita wakasema ghara ya kurudisha milioni 8 ila wakipewa milioni 2watarudisha .

niakwauliza ma mita inachezewa mbona sisi tuna nunua umeme kila mwezi laki 3kamwe sisi tusinge paswa tulipe kidogo(sasbabu wao nyumba yao kubwa ya gholofa moja) wakasema wakati mwingine wakiweka risiti eti ndio kifaa cha kuibia umeme huwa watu kifyatua alafu 
umeme una kwenda zaidi.

wakaondoka na luku tujadiliane na mume wangu then tujipangea ,walikuwa wakali sana mpaka sisi tukawa na mashaka.

tukapiga simu tanesco wakasema hao ni vishoka tuka chukue polisi ,alafu tuka wapigia wao waje na luku tutawapatia hiyo pesa wakati wanaelekea hm wakakutana na mume wangu akawa waambia mama kaenda kuchukua hiyo milioni 2 Atm wakaweka ruku haraka then mimi nikaenda kituo cha polisi nikachukua polisi watatu tukakuta wameondoka.
nikawambia nisharudi waje akaja mmoja na ndio huyo katiakpicha amekamatwa tayari.

Tuwe makini na utapeli.

Note:-Nilivyo tumiwa ndio nilivyo weka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates