Social Icons

Jumapili, 27 Julai 2014

MMILIKI WA FACEBOOK NA MABO YAKE 10 SERIOUS.

mark

 MARK ZUCKERBEG1.Ana umri wa miaka 30 tu, alivumbua mtandao wa facebook akiwa na miaka 20 tu! Mark ndiye anaeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa bilionea mdogo zaidi aliyoiweka akiwa na miaka 23 tu! 
2. Mark Haamini kabisa kuwa kuna Mungu
 
3. Hajawahi kumiliki TV! Maisha yake amekuwa akitumia computer tu
 
4. Ana Matatizo ya kutambua baadhi ya rangi, rangi yake kuu anayoipenda ni bluu na ndio sababu facebook imetawaliwa na rangi hiyo!
 
5 Mara kadhaa amepigiwa kura kuwa mtu maarufu anaevaa vibaya zaidi! Mara nyingi huvaa t-shirt na jeans au kaptura na sandals. wengi huona kama hajijali


6.Unaweza kumblock mtu yeyote facebook kasoro yeye tu! Ingia kwenye ukurasa wake http://www.facebook.com/zuck na ujaribu uone! 
7.Mwaka 2009 Mark alivaa tai kwa mwaka mzima kuonyesha ni jinsi gani mwaka huo ulikuwa 8 serious. Baada ya hapo mark huonekana mara chache sana akiwa amevaa tai na Suti.
 
8.Akiwa na miaka 13 tu mark alitengeneza mtandao ndani ya nyumba yao uliokuwa ukiziwezesha kompyuta kutumiana meseji ndani ya nyumba yao!
 
9. Licha ya Twitter kuwa Mshindani namba moja wa facebook, Mark ni mtumiaji wa mtandao huo pia! Ana akaunti twitter akiwa na wafuasi
 
10. Mwaka 2011 aliamua kutokula nyama yeyote mpaka awe amechinja mwenyewe! Ni utamaduni wake kujiwekea challenge moja kila mwaka!
five+bedroom+house+Palo+Alto+Facebook+Founder+vNrdfa5cDujx

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates