Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga akizungumza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach. Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari alimsifia Balozi wa Norway kwakuwa rafiki wa kweli kwa Baraza la Habari la Tanzania.
Meneja wa Rasilimali Watu Baraza la Habari Tanzania Ziada Kilobo akimsaidia Balozi kufunga kilemba ikiwa sehemu ya zawadi ya vazi la asili la Kiafrika alilozawadiwa Balozi,kulia ni Meneja Uthibiti na Viwango Pili Mtambalike wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
Rais wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga wakiangalia picha ya Balozi ambayo alipewa kama zawadi wakati wa tafrija hiyo ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik akiwa kwenye picha ya pamoja na Watumishi wa Baraza la Habari,Wahariri na wadau wengine wa Habari kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
VOA Express
-
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya
za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo
haya y...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
SIMULIZI YA KUSISIMUA-NANI KACHUKUA SURA YANGU?
-
MTUNZI NA MWANDISHI MWL YUSUPH ABEL NG'AHALA.
Sim no, 0755683295/Watsap. Instagram@ mwalim_yuu.
SEHEMU YA KWANZA.
Kwanza naomba nianze kwa kujit...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni