KATIKA fainali za mwaka 1986, Diego Maradona aliifungia Argentina au kutoa pasi za mwisho katika mabao 10 ya nchi hiyo. Mwaka huu, Messi amefunga au kutoa pasi katika mabao 8 ya Arggentina. Maradon pia alikabiliana na Ujerumani (Ujerumani Magharibi kwa wakati huo) katika mchezo wa fainali, lakini hakufunga goli katika mechi hiyo.
DIEGO MARADONA – 1982, 1986, 1990, 1994
Mechi za ya WC - 21
Magoli ya WC - 8 (pasi za mwisho 8)
Aligusa mpira mara - 1468 (183.5 touches/goal)
Dakika alizocheza- 2007 (250.9 min/goal)
Mashuti yaliyolenga goli - 26 (44.1% on target)
Wastani wa mashuti na umbali - 21.7 (Goli nje ya boks-0
Jumla ya mashuti - 59 (30.8% yalilenga goli)
LIONEL MESSI – 2006, 2010, 2014
Mechi za WC - 14
Magoli ya WC - 5 (3 pasi za mwisho)
Amegusa mpira mara - 958 (191.6 touches/goal)
Dakika alizocheza - 1170 (234.0 min/goal)
Mashuti yaliyolenga goli - 22 (44% yalilenga goli)
Wastani wa magoli na umbali- - 22.2 yards (3 magoli nje ya boksi)
Jumla ya mashuti - 50 (22.7% yalienda golini)
Wastani wa umbali wa magoli ya kombe la dunia
Kiwango cha Argentina katika fainali za kombe la dunia uliwalinganisha - Maradona ’86 vs. Messi ’14
Magoli: Maradona (5) – Messi (5)
Pasi za mwisho: Maradona (4) – Messi (1)
Magoli ya timu: Maradona (14) – Messi (8)
Wastani wa mabao ya timu: Maradona (71.4%) – Messi (63%)
Makombe ya kombe la dunia: Maradona (1) – Messi (TBD)
Idada za mechi walizocheza kwa wakati wote.
1. Javier Zanetti – 145
2. Roberto Ayala – 115
3. Diego Simeone – 106
4. Javier Mascherano – 104
5. Oscar Ruggeri – 97
6. Lionel Messi – 92
7. Diego Maradona – 91
8. Ariel Ortega – 87
9. Gabriel Batistuta – 78
10. Juan Pablo Sorin – 76
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni