
Patrice Evra amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United kwenda Juventus. Beki huyo wa kushoto kutoka Ufaransa amekaa Old Trafford tangu mwaka 2006. Manchester United ime tweet ikisema: Patrice Evra ameondoka #mufc kujiunga na Juventus. Kila mmoja katika klabu hii anamshukuru kwa miaka yake mingi ya huduma bora aliyotoa

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni