Social Icons

Jumapili, 27 Julai 2014

DIAMOND, LADY JAYDEE WAFANYA KWELI TUZO ZA AFRIMMA.

Diamond akiwa na tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki.
Msanii bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jaydee.
Diamond akiwa na Davido.

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameendelea kufanya vizuri katika tasnia ya muziki ndani na nje ya nchi baada ya kutwaa tuzo ya AFRIMMA 2014 ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki huku Lady Jaydee akinyakua tuzo ya Msanii bora wa kike Afrika Mashariki.
Diamond wakati akielekea kwenye ukumbi linapofanyika zoezi la utoaji tuzo za Afrimma.

Tuzo hizo za Africa Music Magazine (AFRIMMA) zimetolewa leo alfajiri jijini Richarson, Texas nchini Marekani.

Diamond alikuwa anawania tuzo katika vipengele vitano ambavyo ni: Msanii bora wa mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora, Video bora ya mwaka na Msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki.
Kupitia ukaunti yake ya Instagram, Diamond ameandika hivi:
WASHINDI WA TUZO HIZO ZA AFRIMMA 2014 NI KAMA IFUATAVYO:
Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)
Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)
Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)
Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)
Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)
Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)
Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)
Best African Group 2014- P-square (Nigeria)
Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)
Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)
Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)
Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)
Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)
Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)
Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)
Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)
Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)
Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)
Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)
Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)
Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)
Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
Leadership in Music Award 2014- 2face Idibia
Legendary Award 2014- Yvonne Chaka Chaka
Transformational Leadership Award 2014- Chief Dr. Godswill Akpabio

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates