Mambo 7 ya kushangaza kuhusu utumbo, na kwanini unachukuliwa kuwa "ubongo
wa pili wa mwanadamu"
-
Je! unajua ni sehemu gani ya mwili wako iliyo na niuroni zaidi kuliko uti
wa mgongo wako na inafanya kazi bila kutegemea mfumo wako mkuu wa neva?
Dakika 28 zilizopita
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni