Kitabu cha Sir Alex Ferguson kimeweka
rekodi ya kuwa kitabu kilichooza kwa haraka zaidi ndani ya Uingereza kikiuza
nakala 115,547 katika siku chache za mauzo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka
The Bookseller, kitabu hicho cha mocha wa zamani wa Manchester United kimevunja
rekodi ya Delia Smith, ambaye kitabu chake cha mwaka 1999 cha mapishi kiliuza
kopi 112,000 katika wiki take ya kwanza.
Pia kitabu cha Fergie kimevunja
rekodi ya mauzo ya kitabu cha rafiki yake waziri mkuu wa zamani wa Uingereza
Tony Blair, ambacho kiliuza kopi 92,000 katika wiki ya kwanza.
VITABU
VILIVYOUZA ZAIDI UK:
Sir Alex Ferguson - My Autobiography - 115,547
Delia
Smith - How to Cook - book two - 112,000
Tony Blair - A Journey -
92,000
David Beckham - My Side - 86,000
Paul Burrell - A Royal Duty -
77,000
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni