Mwanadada Doria Tillier ametekeleza
ahadi yake ya kutangaza taarifa ya habari ya hali ya hewa kwenye kituo kimoja
cha Televisheni akiwa uchi.
Mwanadada huyo alitoa ahadi kama
Ufaransa itafanikiwa kurudisha mabao 2 waliyokuwa wamefungwa na Ukraine kwenye
mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za kombe la Dunia basi angetangaza taarifa
ya habari akiwa kwenye hali ya utupu.
Kwenye mchezo wa marudiano Ufaransa
ilifanikiwa kuitandika Ukraine mabao 3-0 na kufanikiwa kukata tiketi ya kwenda
Brazil mwakani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni