Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza jana jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akianza kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza jana jioni. Kombe hilo limerejea jijini Dar es Salaam na leo wananchi watapata fursa ya kupiganalo picha.
Hapa ni furaha tu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni