Marehemu Zenavia Rennie, 5 wakati wa uhai wake
Marehemu Alarious M. Coleman-Guerrido, 7 wakati wa uhai wake
Polisi akiwa anatazama jinsi ajali hiyo ilivyo tokea
Polisi wakithibitisha kuwa ni kweli kulikuwa na watoto watano kati yao walifariki muda wa dakika 20 baada ya ajali kutokea
Hapa
kulikuwa na mkanganyiko Dereva alikuwa hajulikani kama anamahusiano
yoyote na alio wabeba hadi Familia ilipo wasili ndipo waligundua.
Watoto hawakuweza kujiokoa wenyewe kutoka katika gari hilo hadi Polisi walipo wasili eneo la tukio.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni