Social Icons

Jumanne, 26 Novemba 2013

WATANZANIA WAOMBWA KUMPIGIA KURA HISIA(TUSKER 12)TUSKER PROJECT FAME


Mshiriki pekee aliyebaki katika mashindano ya kusaka vipaji Afrika Mashariki kutoka Tanzania Elisha Maghiya(Hisia) akiwa katika jukwaa la Tusker Project Fame msimu wa sita nchini Kenya.  
Tuma neno TUSKER 12 kwenda namba 15324 na pia kupiga kura kupitia www.tusker.mob

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates