Social Icons

Jumanne, 26 Novemba 2013

JIJINI MBEYA PICHA : UZINDUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA MKOANI MBEYA MAPOKEZI YA MGENI RASMI WAZIRI WA UCHUKUZI DR. MWAKYEMBE

 Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akisalimiana na Mkurugenzi wa NMB Kanda za nyanda za juu kusuni Mama Makirie

 

 Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akiendelea kusalimiana na wadau mbalimbali 




Wadau mbalimbali wakiwa wanampokea Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe
 DR.  Mwakalukwa akiwa anazungumza jambo wakati wa kumpokea Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe
 Meza kuu ikiwa imeongozwa na Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates