Selemani Msindi 'Afande Sele'.
MWANAMUZIKI mkongwe wa Hip hop na Bongo Fleva kutoka mkoani Morogoro,
ambaye pia ni mfalme wa Rymes, Selemani Msindi 'Afande Sele' muda mfupi
uliopita amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
baada ya kukabidhiwa kadi ya chama hicho na Powell Mfinanga wakati wa
mkutano mkubwa uliofanyika katika kata ya Mafiga na Misufini mkoani
Morogoro!
Mwanamuziki huyo toka zamani alikuwa na nia ya kugombea ubunge katika
Jimbo la Morogoro kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 yamezekana ndiyo
kaanza safari rasmi leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni