
Golikipa wa timu ya Taifa na aliyekuwa golikipa wa Simba msimu uliopita, Juma Kaseja akitia saini mkataba wa kuichezea Yanga kwenye mzunguko wa pili utaonza Januari mwakani, Kaseja amesaini kuichezea Yanga kwa shs Mil. 40.
KWA HABARI NA MATANGAZO HAPA NDIO MAHALA PAKE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni