Social Icons

Jumatatu, 18 Novemba 2013

WATU 50 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA NDEGE URUSI


Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana nje ya uwanja wa Kazan…
Ndege aina ya Boeing 737 baada kulipuka.Mabaki ya ndege ya Boeing 737.
Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana nje ya uwanja wa Kazan airport.
 
Watu 50 waliokuwa katika ndege aina ya Boeing 737 wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kulipuka wakati ikijaribu kutua jijini Kazan, Urusi ikitokea Moscow!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates