Social Icons

Jumanne, 5 Novemba 2013

RAIS KIKWETE AKIKARIBISHWA NA RAIS JACOB ZUMA KATIKA MKUTANO WA PAMOJA WA SADC NA ICGLR PRETORIA PIA AKUTANA NA RAIS KENYATTA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Rais Jacob Zuma katika mkutano wa pamoja wa SADC NA ICGLR katika ukumbi wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika Kusini, usik



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.PICHA NA IKULU
u wa kuamkia leo  Novemba 5, 2013.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates