Manny Pacquiao sasa yupo tayari kupigana na Floyd Mayweather lakini
anasema ni juu ya bondia huyo wa Marekani kuamua lini anataka pambano
hilo.
Pacquiao, kutokea Philippines,hapo jana amepata ushindi wake wa kwanza baada ya miaka miwili baada ya kumshinda Brandon Rios na kunyakuwa taji la WBO uzito wa welter.
Anasema kazi yake ni kupigana kwahiyo yupo tayari kupigana na Mayweather.

Mapambano 10 yaliyopita ya Manny Pacquiao
- 23 Nov, 2013: v Brandon Rios (US), won (pts)
- 8 Dec, 2012: v Juan Manuel Marquez (Mex), lost (KO 6th)
- 9 Jun, 2012: v Timothy Bradley (US), lost (pts)
- 12 Nov, 2011: v Juan Manuel Marquez (Mex), won (pts)
- 7 May, 2011: v Shane Mosley (US), won (pts)
- 13 Nov, 2010: v Antonio Margarito (Mex), won (pts)
- 13 Mar, 2010: Joshua Clottey (Gha), won (pts)
- 14 Nov, 2009: v Miguel Cotto (Pue), won (stoppage, 12th)
- 2 May, 2009: v Ricky Hatton (GB), won (KO, 2nd)
- 6 Dec, 2008: v Oscar de la Hoya (US), won (retired, 8th)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni