Social Icons

Ijumaa, 29 Novemba 2013

HON.DR.MAKONGORO MAHANGA,DEPUTY MINISTER FOR LABOUR&EMPLOYEMENT,AZINDUA YOUNG PROFESSIONALS& ENTERPRENEURS FORUM.




HON.DR MAKONGORO MAHANGA DEPUTY MINISTER FOR LABOUR EMPLOYEMENT,amelezea kwamba vijana tufikirie kujiari badala ya kufikilia kuajiriwa ingawa kunachangamoto nyingi
.
MR.KEVIN LUANDE,MD-GOLDEN WAVES LTD,ambaye ndio mwanzilishi wa young profesionals&Entrepreneurs forum.
 CEO-ENTERPRISE GWROTH MARKET ADVISERS(EGMA),alielezea jinsi ya kutafuta mikopo kwa jiri ya wajasiamari na pia jinsi ya kuiweka biashara yako katika hali sahiii
Wauzuriaji wakipata mda wakuuliza maswali.
Muheshimiwa,Dr,Makongoro Mahanga-aliye shika kipaza sauti akijibu baadhi ya maswali alio ulizwa na pia alibainisha kuwa anatamani siku moja tanzanie kusiwe na tatizo la ajira
Wauzuriaji wakifwatilia kiumakini FORUM inavyo endelea sio kitu cha kutamani kukosa akikisha next time,mwezi wa pili 2014 nafika enderea kufwatilia www.onaviews.blogspot.com itakujulisha ni tarehe ngapi.
Baada ya FORUM kumalizika watu wakiji patia chakula Forum hii ilifanyika ukumbi wa           makumbusho ya taifa jana jioni ni bure,kwa maana ulipii chochote na unapata elimu safi na kutengeneza networking na watu mbalimbali karibu.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates