Mbunge wa kuchaguliwa jimbo la Kawe “Kwa Wajanja” katika bunge la Tanzania kupitia chama pinzani cha CHADEMA Halima
James Mdee, leo amemmwagia sifa msanii mahiri wa Bongo Flava nchini
Tanzania, Diamond Platinumz kutokana na uwezo anaouonyesha katika sanaa
ya muziki nchini Tanzania.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter mheshimiwa Halima James Mdee amepost tweet za kumsifia Diamond kwa kusema, “Huyu dogo DIAMOND…..Mungu ambariki….ni mtoto wa kitaa…aliyeonyesha kwamba inawezekana..ktk sanaa yetu , kutoka 0-100%

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni