Kikosi cha Mbeya City Fc wakiwa wanasali kabla ya Mechi yao kuanza
Kikosi cha Tanzania Prisons wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza
Hili Ni Benchi la Timu ya Mbeya City Fc Likiongozwa na Kocha mkuu wa Timu hiyo
Benchi la Tanzania Prisons
Waamuzi wakiwa wanaamua timu ipi iianze mlango gani
Mashibiki wakiwa wanaingia uwanjani
Mashabiki wakiwa wanangoja mpira kwa hamu
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli la Kwanza
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli la Pili
Mpira Unaendela ....
Mpira
umekwishaaa Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashukuru kwa ushindi..
huku moja wa mashabiki akiwa anakimbizwa na Polisi
Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashangilia Ushindi
Hapatoshi Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia ushindi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni