MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO NA MAONYESHO YA LA 2 YA MAFUTA NA GESI, JIJINI DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiriki wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Sehemu ya Wabunge walioshiriki Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Sehemu ya washiriki wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Sehemu ya washiriki wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Makamu Mwenyekiti wa 'Ewura Consumer Consultive Council', Said Abeid, wakati wa ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Mwakilishi wa EWURA, wakati wa ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Dkt. Bilal (katikati) Waziri wa Nishati na Madini, Prof Muhongo (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, Eng. Mwihava.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha DSM, Prof. Rwekaza Mukandara, wakati wa ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki waliopata zawadi kwa kufanikisha Kongamano hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni