Social Icons

Jumapili, 27 Oktoba 2013

ANGALIA PICHA TAZANAITE YA TANZANIA YAIFUMUA Mozambique 10 ZERO

 Kikosi cha timu ya soka ya wanawake ya Tanzania 'Tanzanite' chini ya umri wa miaka 20 kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa wa kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika Canada 2014. 
 Waamuzi wa mchezo huo.
 Kikosi cha Mozambique kilicho fungwa 10
Raha ya ushindi.
 Wakishangilia ushindi.
 Beki wa Mozambique, Esperanca Malaita akimtoka mshambuliaji wa Tanzanite, Therese Yona.
Mshambuliaji wa timu ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20 'Tanzanite', Therese Yona akimtoka beki wa Mozambique, Gilda Machamo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates