Social Icons

Alhamisi, 3 Oktoba 2013

MICHEZO

REAL YAUA 4-0, RONALDO KAMA KAWAMAN CITY YA LAZA USO NYUMBANI KUTOKA KWA BAYERN HADI AIBU, MAN UNITED DROO,drogba bado yupo fiti.

Celebration: Bayern Munich's Thomas Muller (right) celebrates with team-mates after making it 2-0  
Anashangilia: Nyota wa Bayern Munich, Thomas Muller (kulia)  akishangilia bao na wachezaji wake baada ya kuweka ubao wa mabao usomeke 2-0
No match: Frank Ribery (right) runs the ball past City's right-back Micah Richards 
Hakuna mechi hapa: Frank Ribery (kulia) akikokota mpira mbele ya beki wa kulia wa City,Micah Richards
Turn on the style: Arjen Robben of Muenchen celebrates his team's third goal  
Staili mpya hii: Arjen Robben wa Muenchen akishangilia bao la tatu na wachezaji wenzake
Katika mchezo mwingine, kocha David Moyes wa Manchester United alilazimishwa sare ya 1-1 Shakhtar Donetsk Uwanja wa Donbass Arena.
Danny Welbeck alitangulia kuifungia United dakika ya 18 kabla ya Taison kuwasawazishai wenyeji dakika ya 76.
Shakhtar Donetsk: Pyatov, Srna, Kucher, Rakitskiy, Shevchuk, Fernando/EeIlsinho dk84, Hubschman, Taison/Bernard dk90, Alex Teixeira, Douglas Costa na Luiz Adriano/Ferreyra dk90). 
Manchester United: De Gea, Rafael Da Silva, Smalling, Vidic, Evra, Valencia, Carrick, Fellaini/Giggs dk66, Cleverley, Welbeck/Jones dk90 na van Persie.
Leveller: Taison slams home past David De Dea to bring Shakhtar Donetsk on terms  
Mkombozi: Taison akimpeleka sokoni kipa wa Man United, David De Dea na kuisaidia Shakhtar Donetsk 
Job Wel done: Man United edged in front in the 18th minute at the Donbass Arena  
Kazi nzuri: Man United walijikakamua sana kupata sare jana
History: Giggs replaces Marouane Fellaini midway through the second half to make his 145th appearance 
Historia: Giggs aliingia uwanjani na kumbadili Marouane Fellaini kipindi cha pili na kucheza mechi ya 145 
 
Nao Real Madrid imeifumua mabao 4-0 FC Copenhagen mawili akifunga Angel Di Maria na mawili Cristiano Ronaldo, ambaye amesherehekea kucheza mechi ya 100 michuano ya Ulaya.
 
Ronaldo ametimiza mabao 212 katika mechi 208 alizocheza Madrid – na sasa mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester United amefunga mabao 40 katika mechi 42 za Ligi ya Mabingwa akiwa Real.
 
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Pepe, Varane, Marcelo, Di Maria, Modric/Isco dk67, Khedira/Morata dk74, Illarramendi, Benzema/Jese dk81 na Ronaldo.
 
FC Copenhagen: Wiland, Jacobsen, Mellberg, Sigurdsson, Bengtsson, Gislason, Delaney, Claudemir, Toutouh/Bolanos dk63, Braaten/Adi dk67, Jorgensen/Kristensen dk72.
 
All white on the night: Cristiano Ronaldo celebrates with his Real Madrid team-mates after opening the scoring  
Usiku mweupe: Cristiano Ronaldo akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuweka kimiani ba la kwanza
Head boy: Ronaldo completed a fine attacking move to score Real Madrid's first goal at the Bernabeu
Katika mchezo mwingine, Bao la dakika ya mwisho la Umut Bulut limeinusuru Galatasaray kuzama chini ya kocha wake mpya, Roberto Mancini kwa kupata sare ya 2-2 mjini Turin mbele ya Juventus.
 
Didier Drogba alitangulia kipindi cha kwanza kuifungia timu hiyo ya Uturuki, lakini Juventus ikasawazisha na kufunga la pili kupitia kwa Arturo Vidal na Fabio Quagliarella kabla ya Bulut kuiokoa timu yake mwishoni mwa mchezo.
 
Juventus: Buffon, Barzagli, Bonucci, Chiellini, Lichtsteiner, Pirlo, Asamoah, Vidal, Pogba, Tevez, Vucinic. 
Galatasaray: Muslera, Eboue, Kaya, Chedjou, Riera, Felipe Melo, Inan, Balta, Sneijder, Bruma, Drogba. 
In the goals: Didier Drogba celebrates after scoring against Juventus 
Mnyama wa ukweli: Didier Drogba akishangilia baada ya kufunga dhidi ya  Juventus.
MABINGWA wa Ulaya, Bayern Munich wameonyesha soka ya kiwango cha juu na kuifumua nyumbani Manchester City mabao 3-1 Uwanja wa Etihad. Yalikuwa mabao ya wachezaji bora duniani Mfaransa Franck Ribery dakika ya , Mjerumani Thomas Muller dakika ya na Mholanzi Arjen Robben dakika ya yaliyoizamisha City katika mchezo huo wa Kundi D.
 
Makosa ya kipa Joe Hart na walinzi wake yaliigharimu City leo kabla ya Alvaro Negredo kutokea benchi kwenda kufunga bao la kufutia machozi dakika ya – huku beki wa Bayern Jerome Boateng akitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Yaya Toure 
 Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Hart, Richards, Kompany, Nastasic, Clichy, Toure, Fernandinho, Jesus Navas, Aguero, Nasri/Silva dk70 na Dzeko/Negredo dk57. 
 
Bayern Munich: Neuer, Rafinha, Boateng, Dante, Alaba, Lahm, Robben/Shaqiri dk78, Schweinsteiger/Kirchhoff dk76, Kroos, Ribery/Gotze dk85 na Muller

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates