AJARI HII IMETOKEA LEO ASUBUHII ENEO LA MANYANYA MIDA YA SAA 12 NA NUSU.NA KUVUNJA BAADHI YA MABANGO YA MADUKA YALIOKUWEPO ENEO HILO
WATU WAKIJARIBU KUONGEA NA DADA ALIYEKUWA ANAENDESHA GARI HIYO AWEZEKUTOKA NA KUMCHUKUA MAJERUHI MMOJA
ALIYE MGONGA
KWAMBALI NI DUKA AMBALO GARI ILIINGIA JE PATA PICHA KAMA KUNGEKUWA NA MTU NDANI YA DUKA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni