Social Icons

Alhamisi, 24 Oktoba 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Kamati ya Uandishi wa Taarifa za Serikali IKULU Zanzibar jana

.



ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana mchana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates