Social Icons

Ijumaa, 25 Oktoba 2013

kama hukuwahi kubahatika kuona wale watanzania waliokamatwa wakifanya mazoezi ya kijeshi kwa kutumia CD za Al Shabaab,angalia sasa.



Hawa ni vijana wa kitanzania 11 ambao walikamatwa na jeshi la polisi Mtwara baada ya kupata taarifa kwamba walikua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za Al Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD pamoja na silaha mbalimbali kama ushahidi...

Taarifa ya jeshi la Polisi leo imesema kuwa , vijana hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.
toa maoni yako.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates