Social Icons

Alhamisi, 3 Oktoba 2013

pata habari na  picha,TRENI YA MWAKYEMBE YAGONGWA NA LORI LA MIZIGO ENEO LA BUGURUNI BAKHERESA JIONI YA SAA KUMI NA MBILI JIONI YA jana LIKIWA LINATOKA STESHENI KUELEKEA UBUNGO.

 Lori lililogonga treni ya Mwakyembe lililokuwa likitoka Stesheni kuelekea ubungo kwenye majira ya Saa kumi na Mbili Jioni ya jana Likiwa limepinduka mara baada ya kuligonga treni hilo eneo la Buguruni Bakheresa
 Wakazi wa jiji la Dar na Wapita njia wakishangaa lori lililogonga treni ya Mwakyembe iliyokuwa ikitoka Stesheni kuelekea Ubungo majira ya Saa Kumi jioni ya jana
 Kichwa cha Lori lililogonga treni kikiwa kimepinduka mara baada ya kuligonga treni hilo majira ya saa kumi na mbili jioni wakati treni hiyo ikiwa inatoka Stesheni kuelekea Ubungo
 Sehemu ya tera la lori hilo lililogonga Treni  likiwa limepinduka huku wakazi wakichukua taswira la lori hilo.
 Kichwa cha treni (chenye rangi ya bluu) kikiwa kimesimama mara baada ya kugongwa 
Kichwa cha treni kikiwa kimesimama mara baada ya kugongwa na lori na kupelekea lori hilo kupinduka maeneo ya Buguruni bakheresa wakati treni hiyo ikiwa inatoka Stesheni kuelekea ubungo 




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates