HAPA SITII NENO NAOMBA UNISAIDIE KUTOA MAONI KUTOKANA NA HALI UNAYO IONA HAPO ILA NA MASWALI KIDOGO,JE?MJUMBE,SERIKALI YA MTAA,KATA,DAWASCO(MWENGE).
Umoja street ambapo sasa panaitwa Kinyesi Street.
Hivi ndivyo haya maji yanavyo anza safari yake ya kuelekea huko yaendako
.
Wakazi wa mwenge mtaa wa umoja karibu kabisa na majengo ya jeshi (JKT) wapo hatarini kupata magojwa ya mlipuko kutokana na mkondo wakupitisha maji taka kujaa na kupasuka bila mamlaka husika kushughulikia na hivyo kuwa kero kubwa kwa wananchi wanaoishi katika mazingira hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni