Social Icons

Jumatatu, 7 Oktoba 2013

MAISHA.

  Ni vizuri kutenga mda wa kuwa na familia yako   
 Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a baba Sasha huwa hakosi muda wa kuwa pamoja na familia yake

                                                     'Khaki House'
                                                                  Happy couple
Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a baba Sasha huwa hakosi muda wa kuwa pamoja na familia yake

Huyu ndiye mkombozi wa wanyonge; Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia chama cha CHADEMA ambapo muda mfupi baada ya kutupia picha ya nyumba yake mpya hiyo zilishuka pongezi nae akatia msumari kwa maneno haya "...tunapofikia kupigana mjengoni mjue tunamaanisha na tuko serious...vinginevyo tungeweza kutulia na maisha yangeendelea poa kama hivi,lakini si dhamira yetu kukaa kimya na tutaendelea kukomaa..."

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates